Wednesday, 30 October 2019

USICHOJUA KUHUSU UHUSIANO WA USINGIZI NA MBEGU ZA MABOGA (TETERE)

Kulingana na utafiti uliofanywa na kuchapishwa kwenye jarida la Nutritional Neuroscience mwaka 2005 ilipendekezwa kuwa ulaji wa mbegu za maboga hasa zile za jamii ya vibuyu pamoja na wanga huweza kulingana na dawa halisi inayotumika kutatua changamoto ya kukosa usingizi hii ni kwa sababu ya uwepo wa tryptophan kwa wingi ndani ya tetere za maboga jamii ya vibuyu.
 Uwingi huu wa typtophan huweza kugeuzwa na mwili kuwa serotonini homoni ambayo ndiyo homoni inayofanya mwili kujisikia kuchangamka tena pia mwili huweza kugeuza tryptophan kuwa melatonini ambayo