Unashauriwa kulima uyoga kwa sababu kuu tano ambazo ni:
1.LISHE
- Uyoga ni zao lenye viinilishe (amino acids) zote 22 zinazohitajika na mwili wa mwanadamu.
- Protini iliyoko kwenye Uyoga inafikia kiwango cha asilimia arobaini. Hii inalingana na protini iliyoko kwenye maziwa pamoja na samaki
- Kuna wingi mkubwa sana wa vitamini B,Cna D.
- Uyoga hauna mafuta mengi. Unaasilimia tatu tu.Hivyo hauna Colestrol.
- Uyoga unayo madini yote muhimu kwa mwanadamu; phosphorus, Iron, Calcium na Potash.
2.TIBA
Utafiti uliofanyika siku za karibuni
umethibitisha kuwepo
kwa dawa nyingi ndani ya uyoga zenye uwezo wa kutibu kwa ufanisi, magonjwa ya wanadamu
na mifugo. Kwa wanadamu magonjwa yafuatayo yanatibiwa:1.Uhongeza kinga mwilini hasa kwa wangonjwa wa HIV/AID
2.Kisukari
3. Shinikizo la damu(B.P)
4. Uti wamgongo
5. Saratani
6. Matatizo yafigo
Uyoga umeongeza ajira na kuinua kipato kwa rika zote kwa vijana pia kwa wazee katika kaya.
4. MBOLEA
Vimeng'enywa hivi hutumika kama mbolea shambani na katika bustani. Matokeo ya kutumia vimeng'enywa hivi yameonyesha ufanisi mkubwa.
5. NI LAISI KUZALISHA NA LINAITAJI LASIMALI NDOGO
Kilimo hiki huhitaji eneo dogo sana la ardhi pia huweza kuzalishwa na rika zote
NB;Endapo utahitaji kulima na unatuhitaji tafadhali piga;0759817533 au tutumie barua pepe kwenye:nebartchalaji@yahoo.com
KIJANA NI WAKATI WAKO WA KUINUKA NA KUNG"ARA.
No comments:
Post a Comment