Kilimo chenye tija si kile ambacho mtu anaweza kujinasibu kwa kupata kiasi kikubwa cha mazao bla hata kukaa chini na kupiga hesabu hapana.kilimo chenye tija ni kile ambacho mtu anapata kwa hesabu ya mlinganisho wa gharama uwekezaji kuwa ndogo na kipato kuwa kikubwa.
mfano:watu wengi hupata hasara kwa kutopiga hesabu vizuri.hivyo ndugu msomaji kabla ya kushangilia kuwa umepata faida ya kilimo,ufugaji au uvuvi, keti chini na piga hesabu na gharama zote na ukiona faida ndipo ushangilie kuwa umepata faida.
maelezo zaidi na ushauri,tafadhari piga 0655333432.

No comments:
Post a Comment