Wednesday, 1 March 2017

KAZI ZETU

Tunatoa huduma mbali mbali kwa jamii kama:
1.Kutafuta masoko ya wakulima na kuwezesha wakulima kuwa na soko la uhakika.
Hapa mkulima atardhimika kujiunga na familia ya chalaji cmpany limited ili aweze kujulishwa makoso na wahitaji wa zao lake.
Kwa kuwa mwanachama atakuwa na uwezo wa kuulizia soko pamoja na kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu namna bora ya kuzalisha mazao kwa viwango vitakavyompa faida zaidi.
Gharama ya kujiunga kwa msimu wa kwanza ni bure na msimu wa pili mkulima ataanza kwa kulipia elfu kumi na tano (15000/=) pekee.
Baada ya hapo kama atapenda kuendelea nasi atakuwa analipa ada ya tsh.10000/= pekee kwa mwaka.

2..Tunajishughulisha na utoaji wa ushauri wa kilimo cha mazao mbalimbali kama mpunga,viazi,mahindi,kahawa na mazao mengine.
Ushauri kwa makampuni binafsi na mashirika mbalimbali,tunao wataalamu waliobobea kwa fani hiyo na kukuwezesha kupiga hatua kiuchumi.
3.Tunatoa huduma za masoko ya mbegu bora na mbolea kwa makampuni:
Wewe kama ni kampuni la mbeu au mbolea tunalo soko kwa ajili yako.
4.tunasimama kwa niaba ya mwajiri endapo atataka kuwaajili wataalamu mbali mbali wa fani tofauti,,kwani tunao wataalamu ambao wanauwezo mkubwa wa kuwasaili watu unaotaka wakufanyie kazi kwa weledi wa hali ya juu.
5.Tunatoa mikopo ya bei nafuu kwa wakulima ambao baada ya mavuna huweza kurejesha mkopo kwa fedha au mazao .

No comments:

Post a Comment