Tuesday 29 October 2019

ZIFAHAMU FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA (TETERE)

Mbegu za maboga ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa kwenye mwili wa mwanadamu na wanyama kwa ujumla lakini ukweli ni kuwa mbegu za maboga ni miongoni mwa vyakula visivyopewa umhimu hata kidogo na jamii. Leo nakusogezea umhimu wa mbegu za maboga kwa afya yako:
A:viini lishe vilivyomo.
Katika kila gramu 28 ya tetere(mbegu za maboga) utaweza kupata viini lishe vifuatavyo:-
  • nyuzi nyuzi gramu: 1.7
  • wanga gramu: 5
  • Protein gramu: 7
  • mafuta gramu: 13(ikiwemo omega 6)
  • Vitamin K: 18% ya unachohitaji kwa siku.
  • Phosphorus: 33% ya unachohitaji kwa siku
  • Manganese: 42% ya unachohitaji kwa siku
  • Magnesium: 37% ya unachohitaji kwa siku
  • Iron: 23% ya unachohitaji kwa siku
  • Zinc: 14% ya unachohitaji kwa siku
  • Copper: 19% ya unachohitaji kwa siku 
B:kwanini unahitaji kula tetere kwa wingi:
Tetere zina kiwango kikubwa cha magneziamu ambayo ni mhimu kwa ajili ya:
USHAURI WANGU KWAKO JITAHIDI KULA MBEGU ZA MABOGA KWA AFYA YAKO.

No comments:

Post a Comment