- UYOGA MWEUPE:Huu ni uyoga ambao kazi yake kubwa ni kusaidia kupunguza uzito na na pia husaidia kuzuia kansa ya tezi dume kwa wanaume.Uyoga mweupe una
wanga(sukari) maalumu ambayo huweza kusawaza kiwango cha sukari mwilini,hivyo ni mhimu kwa wale wenye ugonjwa wa kisukaripia. Hujumuisha uyoga jamii ya button , cremini and the Portobello.uyoga wa botton - Shiitake:Huweza kupambana na kuponya uvimbe wa kila aina uyga huu una kemikali iitwayo lentinan ambayo hupambana na visababishi vyote vya uvimbe,wajapani wameanza kuitumia katika matibabu ya kansa.
shhitake - Reishi:Uyoga huu huweza kupambana na kwa kiasi kikubwa sana na bacteria ,virusi na kuvuau fangasi.pia uyoga huu huweza kwa kuzuia kutokea kwa kansa kwa kiasi kikubwa sana.Uyoga una kemikali iitwayo gandodermic acid ambayo huweza kupunguza na hatimaye kuondoa mafuta mabaya mwilini na kurekebisha shinikizo la damu mwilini.
uyoga wa reishi - Shimeji:Uyoga huu ni mahususi kwa kupambana na asthma,uvimbe,uyoga huu una kemikali aina ya beta-glucans ambayo kwa mujibu wa taasisi ya kansa ya japani.( Japan National Cancer Institute of kemikali hii imesaidia kuondoa vimbe zilizosababishwa na kansa.Pia uyoga huu husaidia watu wenye kisukari,na alegi mbalimbali.
uyoga aina ya shimeji.
Thursday, 2 March 2017
ZIFAHAMU AINA ZA UYOGA NA UMUHIMU WAKE.
Labels:
KILIMO BORA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment