VIINI LISHE VYA TANGAWIZI.
Tangawizi huw na virutubisho mhimu sana kwa afya ya
mwanadamu.Pia ina chemikali mhimu sana zinazofahamika kama gingerol ambayo ni
mhimu kwa kuondoa uwezekano wa uvimbe na pia kuwa mahusiano na faida nyingine
kiafya.
Katika gramu100 za tangawizi mbichi inaweza kuwa na virutubisho
vifuatavyo :
- Kaloli (nguvu) 80
- Gramu 17.8 za wanga.
- Gramu1.8 za protini
- Gram 0.7 za mafuta.
- Gramu 2 za nyuzi nyuzi(mhimu
kwa umeng’enyaji)
- Miligramu 415 za Potasiamu.
- Miligramu 0.2 za madini ya
shaba mwilini.
- Miligramu 0.2 Manganizi
- Miligramu 43 magnesium
- Miligramu 5 vitamini C
- Miligramu 0.2 Vitamini B 6
- Miligramu 0.7 niacini
- Miligramu 34 phosphorus
- Miligramu 0.6 za madini ya
chuma.
Kwa nyongeza ya viini lishe vilivyorodheshwa hapo juu tangawizi
pia huwa na kiasi kidogo cha madini ya Kalciam, zinki,Pantotheniki asidi,
riboflavini na thiamin.
Je huwa hutumii
tangawizi? Basi anza sasa.
0655333432
No comments:
Post a Comment